Wednesday, 7 October 2015

Kanye West kuachia Album nyingine na wasanii wa ‘G.O.O.D Music’ ? Tetesi zinadai inatoka wiki hii

Kuna Tetesi kuwa Kanye west amewaunganisha tena wasanii ambao wapo chini ya Label ya ‘G.O.O.D Music’ kwenye hii Album mpya ambayo inaitwa ‘Cruel Winter’ baada ya ile ya kwanza iliyotoka mwaka 2012 ‘Cruel Summer’ 

Kanye west mwenyewe bado hajatangaza ujio wa Album hiyo zaidi ya Album yake mwenyewe ‘SWISH’ ambayo ameahidi kuwa itatoka kabla mwaka huu haujaisha.

 

Tetesi hizo ambao zimesambaa kwenye mitandao zimedai Album hiyo itatoka siku yoyote ndani ya wiki hii, na hii ni orodha ya nyimbo zitakazo kuwepo kwenye Album hiyo

1. Season (ft. Kanye West, and Beyonce)
2. Tourist (ft. Rihanna, Travi$ Scott, Big Sean, and Young Thug)
3. Fire (ft. Kanye West, Drake, and The Weeknd)
4. All American (ft. Pusha T, and Pharrell)
5. Mo City Flexologist (ft. Travi$ Scott, Pusha T, and Big Sean)
6. Feed Me (ft. Common, Vince Staples, and Kendrick Lamar)
7. On The Low (ft. Hit-Boy, Travi$ Scott, and Pusha T)
8. All Around The World (ft. Travi$ Scott, and Big Sean)
9. Special (ft. Pusha T, Kanye West, and Consequence)
10. Can U Be (ft. Big Sean, Drake, and Kanye West)
11. Lil Nigga (ft. Travi$ Scott, and Chief Keef)
12. Under Water (ft. Common)
13. Quintana Pt. 3 (ft. Travi$ Scott, King Krule, and Zona Man, and Young Thug)
14. Only One [EXTENDED] (ft. Kanye West, Paul McCartney, and Lana Del Rey)

Ujio wa Album hii umekua ukizungumziwa kwa miaka sasa tangu Album ya ‘Cruel Summer’ itoke mwaka 2012.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya




No comments:

Post a Comment