Akizungumza na Bongo5 jana mmoja wa dancers hao, Imma Platnumz,
alisema hali hiyo ya kufuatwa na dancers wa P-Square inaonyesha kazi
wanayoifanya inakubalika.
“Tulikuwa tupo Nigeria tunafanya show, dancers wa P-Square wakataka
kufanya kazi na sisi,” amesema. “Wakamfuta Diamond lakini Diamond
akakataa kwa sababu walikuwa wanataka tujoin halafu tufanye show pamoja
kitu ambacho hakiwezekani,” ameongeza.
“Pia tulikutana na Fally Ipupa, aliomba kufanya show na sisi lakini
management imeshindwa kutuachia kwa sababu tuna kazi zetu binafsi.”
****
kumwezesha Diamond kushinda Tuzo ya Worldwide Act ili iweze kurudi Nyumbani (Tanzania)
Ingia hapa kumpigia kura
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment