Mkurugenzi wa Benchmark production na pia Judge wa shindano hilo, Ritha Paulsen ametoa taarifa hiyo wakati akijibu maswali ya mashabiki wa kipindi icho, Wasanii wengine watakaotumbuiza ni pamoja na Yamoto Band, Christian Bella, Navy Kenzo, Peter Msechu na Kala Jeremiah.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment