Kupitia mtandao wa Instagram, Christian bella ameshare picha akiwa
studio ya ‘The Industry’ na wasanii wa kundi la weusi ambayo amesema
itatoka mwishoni mwa mwezi wa 11, Ameandika “@johmakini @gnakowarawara C.B ft weusi Loading”
Pia Christian Bella ametangaza kuwa collabo yake na Alikiba ‘Nagharamia’ itatoka mwishoni mwa mwezi ujao, Bella Amesema “Kazi
imeisha Leo na #weusi Ratiba ni mwishoni october tunaachia nagharimia +
@officialalikiba Mwishoni november @joh_makini @gnakowarawara @nahreel”
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment