Mabeste amefunguka hilo wakati anafanya mahojiano na kipindi cha Planet Bongo cha ‘East Afrika Radio’ Amesema “Unajua
director wakati anaisikiliza nyimbo akawa anataka tu shoot, alikuwa
anataka niwe na mwanamke ambaye ni mke wangu, kwanza nikajaribu kutafuta
nikaona sipati, nikapata wazo nikaona vitu ambavyo anasema wife yuko
navyo, alafu pia ili niwe comfortable zaidi ya kile ninachokifanya, kwa
sababu natakiwa ni act kama mke wangu, nikaona kwa nini efort ambayo
nataka niiweke kwa mtu mwengine nisiweke wife, kwa hiyo ni kama kutoa
kitu mfuko huu na kuhamishia mfuko huu”
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment