Akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo Bushoke amesema idea ya wimbo
ilikuwa ni ya rafiki yake J Silk, lakini alitokea kuupenda hivyo akaomba
wabadilishane nyimbo.
“60% ya ile nyimbo sikuianzisha mimi, aliianzisha jamaa
mmoja anaitwa Juma Silk (J Silk) ile nyimbo yenyewe ilikuwa inahusu
mtoto, yenyewe ilikuwa na verse moja inayosema mimi mweusi mtoto katoka
mwarabu, ilipoishia pale mimi nikaipenda ile nyimbo kwa hiyo nikaendelea
na ile nyimbo, na J silk kuna nyimbo yangu na mimi nikampa” Amesema Bushoke
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment