Diamond Platnumz amekuwa mshindi wa kipengele cha ‘Best African Act’ kwenye tuzo za MTV Europe Music (Awards) baada ya kuwabwaga, Davido, Yemi Alade, AKA na DJ Arafat.
#MTVEMA | Congratulations to @DiamondPlatnumz who is the 'Best African Act'! pic.twitter.com/QrRz3qn3oO
— MTV Base Africa (@MTVbaseAfrica) October 15, 2015
Na sasa muimbaji huyo aliyewasili Alhamis hii kutoka Dallas, Texas
alikoshinda tuzo tatu za Afrimma, ana mtihani mkubwa zaidi mbele yake.
Atashindana kipengele kimoja cha ‘Best Worldwide Act: Africa/India’ na mshindi wa Best Indian Act ambaye mwaka huu ni muigizaji na mwanamuziki maarufu wa India, Priyanka Chopra aliyewahi pia kuwa Miss World mwaka 2000.

Priyanka kwa sasa ni muigizaji wa tamthilia mpya ya Marekani, Quantico inayorushwa na kituo cha ABC.
Diamond atahitaji kura nyingi kutoka Afrika ili kuweza kushinda kipengele hicho na hivyo tunatakiwa kuanza kupiga kura kwa nguvu zote.
MTV EMA wameandika: For weeks, music fans around the world have been voting like mad for their local favourite artists. And now a winner has been chosen! The winner of the 2015 Best Africa Act is DIAMOND!
This year, we’ve put a new twist on the international award race—your local winner goes STRAIGHT into the running for the Worldwide Act EMA! When EMA winners are announced on 25 October during our Milan event, 6 Worldwide Act winners will emerge, each representing a different portion of the planet: Africa/India, Asia, Australia/New Zealand, Europe, Latin America, and North America.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment