Mastaa hao ambao wapo nchini humo kwa ajili ya kufanya show, wameshare
picha wakiwa na Tajiri huyo kwenye moja ya Store zake Paris, Fally Ipupa
ameandika “Christian Louboutin private showroom in Paris with my Brother @wizkidayo”
Hivi ni baadhi ya viatu vya Christian Louboutin
Mastaa hao wamekutana Paris, Ufaransa ambapo wapo kwa ajili ya show
lakini wameamua kutumia fursa hiyo kuingia studio kwa ajili ya kufanya
wimbo wa Pamoja.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment