Monday 28 September 2015

Video | Swizz beatz amkubali Diamond, Apost video akicheza nyimbo za Diamond na mtoto wake


Mara ya kwanza aliweka video ikimuonesha mtoto wake akicheza ‘Nana’ na baadae akaweka video nyingine akicheza ‘Nataka kulewa’

Hii inamuonyesha akicheza Nana

Hii inamuonyesha akicheza Nataka Kulewa

Kitendo icho ambacho kimepokelewa vizuri na mashabiki wa muziki wa Tanzania, ni njia moja wapo ya kuonesha kuwa mziki wa Tanzania ‘Bongo Fleva’ unaendelea kukua zaidi na unaendelea kupata wasikilizaji wapya.

Mchezaji wa Manchester City Wilfred Bony aliwahi pia kuweka video akicheza wimbo wa Daimond.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya







No comments:

Post a Comment