Omary Ramsey

The Infortaiment Site

Friday, 18 September 2015

Stella Mwangi - Chukua Hatua (Official Music Video)

Baada ya ukimya wa muda mrefu Rapper wa Kenya Stella “STL” Mwangi amechukua hatua ya kuachia wimbo mpya. STL ambaye makazi yake ya muda mrefu ni Norway, ameachia wimbo mpya uitwao ‘Chukua Hatua’ uliotoka pamoja na video yake. STL amewahi kufanya vizuri na nyimbo kama Lookie Lookie, Haba Haba, Biashara, Stella Stella Stella na zingine.

https://my.notjustok.com/track/download/id/31823 



Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

Posted by Omary Ramsey at 15:16
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Videos

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home

Pages

  • Home

Popular Posts

  • Download | Msaga sumu - Marafiki (Audio)
  • Download | Miss Rizy - "Nanana" Usiniumize (Audio)
  • Mac D - Jumba bovu (Audio) [omycdney]
  • Mapya yaibuka ndoa ya Bieber na mrembo Hailey
  • (no title)
  • Mastaa hawa wana dalili za kuaga ukapera 2021
  • RayVanny mbioni kufungua studio
  • Kolabo za Nandy zinasema jambo kuhusu Wasafi!
  • Makala: Kwani Kiba, Diamond ni wapinzani?
  • Bonta - Walaumiwa (Audio) [omycdney]

FIND ME ON FACEBOOK

Contact Form

Name

Email *

Message *

VISITS

Contact us

Name

Email *

Message *

FOLLOW ME

Picture Window theme. Powered by Blogger.