Friday 18 September 2015

Roma: Tha' Video z Comin Soon.... “Viva Roma Viva”

Baada ya wimbo huu wa “Viva Roma Viva” kupokelewa vizuri na raia kila kona ya nchi, sasa ni zamu ya video ya wimbo huu.

Kupitia kurasa yake ya Instagram Rapper Roma ameandika “Tha’ Video z comin soon……. Hakika” akamalizia na ” #MunguNiMwema #Inshallah”

A photo posted by Viva ROMA Viva (@roma2030) on
Roma alipost pamoja na picha ambayo imeonesha Tweet 2 moja ya Jokate Mwegelo na nyengine ya Solo Thang wakisema,

#ViVaROMAViVa 
#ViVaROMAViVa
#ViVaROMAViVa

Tha' Video z Comin Soon......... Hakika #MunguNiMWEMA#Inshallah!! @roma2030 

“Sikumbuki mara ya mwisho kusikiliza wimbo wa Hip Hop mara nyingi kama ninavyousikiliza Viva Roma Viva. Nananaah nanaah weeeh mama wee” – Jokate Mwegelo

“Leteninyimbo zenu mia moja zenye mahadhi ya #kipopo, za mapenzi nk Ila nyimbo tukama hii #Viva Roma Viva hunifanya nisijutie kuipenda #HIPHOP” – Solo Thang

Na hizi ni baadhi ya comment baada ya post hiyo ya Roma2030

SIKU YA KUPIGA KURA NAENDA HUKU NASIKILIZA NYIMBO YA ROMA ILI NIKIFIKA NISIIKOSEE TENA KIUBETI CHA MWISHO KOMBE KUBAKI MONDULIII

Hapa geto mpaka spika zinapaduka viva Roma inatisha

Ndio Kwanza mzigo unazidi kusambaa kama taarifa Za babu wa loliondo.

Can't wait Roma. Keep it real!

nishapigwa sana mkwala na jumbe za vitisho ila camin huu msafara ni vibaraka wa mrisho

Kama bado haujaupata wimbo huo na kuona mashairi yake/lyrics..  Fanya Hivi
DOWNLOAD AUDIO -  BOFYA HAPA   
MASHAIRI / LYRICS -   BOFYA HAPA

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

 

No comments:

Post a Comment