Omary Ramsey
The Infortaiment Site
Tuesday, 18 August 2015
Sauti Sol & Yemi Alade collabo coming soon..
Wasanii wanaopeperusha bendera ya Kenya kwenye muziki wa kimataifa Sauti Sol wameingia studio na Mnigeria Yemi Alade baada ya kukutana naye Coke Studio. Wimbo wa Yemi Alade na Sauti Sol unatayarishwa na Cobhams Asuquo.
Yemi Alade ameshafanya kazi na Jua Kali alivyokuwa Nairobi kwenye Coke Studio.
Sauti Sol - Nerea (Official Video)
Jiunge Nasi na Huku Pia,
Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
No comments:
Post a Comment