Tuesday, 18 August 2015

Msikilize hapa Shetta akielezea kwanini anaitwa 'Shetani' kwa sasa!

Shikorobo Master, Shetta msanii wa muziki ambaye anafanya poa ndani na nje ya mipaka ya nchi, amelazimika kutolea ufafanuzi a.k.a yake mpya ambayo anasikika akijiita kwa muda sasa (Shetani) na kusema kuwa maana yake ni kuwa anatisha mfano wa Shetani.

Shikorobo Master, Shetta msanii wa muziki ambaye anafanya poa ndani na nnje ya mipaka ya nchi, amelazimika kutolea ufafanuzi a.k.a yake mpya ambayo anasikika akijiita kwa muda sasa (Shettani) na kusema kuwa maana yake ni kuwa anatisha mfano wa Shetani katika kile anachokifanya – Muziki.

Shetta ama (Shetani lenyewe) kupitia mahojiano ambayo eNewz, amesema kuwa jina hilo amelitoa kwa mshkaji wake wa karibu sana, na kukanusha tafsiri nyingine zote ambazo jamii imekuwa ikijiongeza kuhusu jina hilo.

-EATV

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

 

No comments:

Post a Comment