
Inawezekana hukua unaamini kuwa kuna siku jamaa hawa wawili ambao walikua wakiwakilisha ‘Top Band‘ Q Chief na Tid wasingeweza kukaa pamoja na kumaliza tofauti zao na hii imetokana na kuignia kwenye headlines sehemu mbalimbali kuwa hawako sawa,taarifa ikufikie kuwa Tid na Q Chief kwa sasa wako fresh na wanarudi pamoja kimuziki tena.
Kwenye interview ya kukumbuka album zilizopita kwenye XXL ya Clouds Fm Aug 13 waliwaita Q Chief na Tid,yamezungumzwa mengi sana kwenye interview hii ikiwemo album nyingine itakayotoka kati ya Q Chief na Tid.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:
Post a Comment