Thursday, 13 August 2015

Management ya Ally Kiba yatangaza Collabo ya Ally Kiba na Ne-yo

Ally Kiba anazidi kupaa kimataifa, Management inayosimamia kazi za Ally Kiba iitwayo Rockstar4000 imetangaza Collabo ya Ally Kiba na Msanii wa kimataifa aliyeperform katika tuzo za MTV MAMA aitwae Ne-yo.

Ally kiba ni mmoja ya wasanii wataoshiriki Coke studio na tayari imeshathibitishwa kuwa Ne-yo atakuwa mmoja ya wasanii wa kimataifa wataokuwepo katika Coke Studio mwaka huu.




Katika Mtandao wa Instagram Rockstar4000 wameandika “Exciting News: African Superstar Alikiba will be Collaborating with International Superstar Ne-yo —Mor News to follow…#kingkiba #ROCKSTAR4000.”

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment