
Jana 23/8/2015 ilikuwa ni uzinduzi wa kampenzi za Urais kwa mwaka wa 2015, *CCM* walifanya uzinduzi wao kwenye viwanja vya *Jangwani* ambapo waliwaalika baadhi ya wasanii ambao wapo tayari kukiunga chama hicho na kukipigia debe ili kiweze kuingia ikuli katika uchaguzi mkuu.
*Diamond Platnumz* pamoja na kundi lake la *Wasafi* hawakuwa nyuma kwenye kuburudisha,
Hivi ndivyo ilivyokuwa.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:
Post a Comment