Diamond Platnumz ni msanii anaeongoza kwa kufuatiliwa katika Mtandao wa Youtube kwa wanamuziki kutoka Afrika ya Mashariki…Video yake ambayo amefanya na Davido ya Number One Remix imeweza kufikisha watazamaji milioni 10 mpaka sasa.
Katika Mtandao wa Instagram Diamond Platnumz ameandika “10 Million + Views thanks alot my people for keep Supporting my Music…
(Watazamaji zaidi ya Milioni kumi 10M, nawashkuru sana… amini si mimi ni Nyinyi na mimi ndio kwapamoja tunakuza Mziki huu…InshaAllah Mwenyez Mungu atusmamie tuzidi fika Mbali…Tuseme Amen
) #NumberOneRemix #Ngololo“.
(Watazamaji zaidi ya Milioni kumi 10M, nawashkuru sana… amini si mimi ni Nyinyi na mimi ndio kwapamoja tunakuza Mziki huu…InshaAllah Mwenyez Mungu atusmamie tuzidi fika Mbali…Tuseme Amen

No comments:
Post a Comment