Huu ni wimbo maalum ulioimbwa na kundi la WEUSI kwaajili ya kampeni ya Zamu Yako 2015 iliyoanzishwa na kituo cha TV cha East Africa Television na East Africa Radio ikiwa na lengo la kumuhamasisha kijana kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura na pia kupiga kura katika uchaguzi mkuu ifikapo mwezi oktoba.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment