Hili ni swali ambalo watu wengi tumekua tukijiuliza hasa baada ya project nyingi kuwasikia Temba na Chege peke yao,kipaza kinamfikia Said Fella ambaye ni meneja wa kundi la Tmk Wanaume Family>>’Unajua wengi wamekua wajasiriamali‘
Hapa anaendelea>>’ Tripo kwa sasa
anasimamia na kuuza Fenicha za kaka yake mwingine ni Zozo Wida ambaye
yeye kwa sasa amenunua Pikipiki za miguu mitatu ndizo zinazomuingizia
kipato
Mwingine aliyetajwa ni Sticco ambaye Fella amesema>>’Kwa sasa Sticco ana production ya kutengeneza filamu‘ Fella amesema ingawa kila mtu ana majukumu yake lakini ikitokea wanahitajika wote wanapatikana na kufanya show pamoja.
Tmk Wanaume Family October 20 2014 walimpoteza member mwenzao mmoja anaeitwa Yp ambaye alifariki akiwa hospitali ya Temeke,Rest in peace Yp.
credit : millardayo
FOLLOW US ON
No comments:
Post a Comment