Sunday, 17 May 2015

Ni zamu ya Abdul Kiba na Ruby kwenye headline??


http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/05/alikiba-na-ruby.jpg

Singo hii ilikuwa itoke wiki kadhaa zilizopita lakini kutoka na wizi ambao ulifanyika nyumbani kwao Abdul Kiba ulisababisha project hii isimame na kwa sasa ipo tayari na itakuwa apa kwenye blog yako kuanzia wiki ijayo.

FOLLOW US ON



No comments:

Post a Comment