Diamond Kupitia Ukurasa wake wa Instagram ame tease kuachia video ya collabo yake na Mr Flavour kupitia BET International
wiki hii Diamond Platnumz na madencer wake wamekuwa waki-tease vitu nusu nusu kuashiria kuna kitu mdundo hatari unakuja
Hatimaye Diamond Platnumz mwenyewe amepost kuwa anaachia video na ngoma mpya aliyomshirikisha Mr. Flavour wa Nigeria iitwayo ‘Nana’.
Kupitia
Instagram Diamond ameshare fomu inayoonesha kuwa ameituma video hiyo
kwenye kituo cha Runinga cha kimataifa BET International. Katika fomu
hiyo inaonesha kuwa video hiyo iliyoongozwa na Godfather inatarajiwa
kutoa May 29, 2015.
No comments:
Post a Comment