Mashabiki wengi wa Nicki Minaj bado hawajabahatika kuiona video yake mpya ‘The Night Is Still Young’ ambayo aliitambulisha rasmi weekend iliyopita, kwasababu ilitolewa exclusive kupitia Tidal.
Pata nafasi ya kuiona video hiyo kupitia hapa.
FOLLOW US ON
No comments:
Post a Comment