Friday, 15 May 2015

Download | Pipi - Shauri Yako (Audio)

Wengi wetu tunajua Pipi kutokana na hit yake aliyoimba na Barnaba ulioitwa NJIA PANDA. Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu sasa PIPI amerudi rasmi kwenye muziki na kukuletea wimbo wake mpya kabisa uitwao SHAURI YAKO

 https://www.ssyoutube.com/watch?v=NXvAz4QFlvk 

FOLLOW US ON

No comments:

Post a Comment