Wednesday 15 April 2015

Umeshawahi ona Show ya Msaga Sumu inavyokuwa na shangwe? Tazama hapa

Kwa style yake ya kuimba imemfanya awe Mfalme wa Uswahilini, Wanamuita Msaga Sumu huku kweu uswahili tunamjua sana si jambo la kushangaa maeneo ya Mbagala, Tandale, Buguruni, Gongolamboto na mpaka sasa amevuka kila mahali sio tena uswahilini tu sasa mpaka washuani wenyewe wanamuelewa, hakika ukisikia nyimbo zake hata kama ulikuwa hupendi miondoko hiyo basi utajikuta unatingisha hata kichwa na kujikuta unaanza kuipenda taratiiiiiiiiiiiibu.

sasa tazama hii moja ya Show ambayo ame perform.



No comments:

Post a Comment