Wednesday 15 April 2015

New Bongo Movies | Going Bongo

Kingine kipya kwenye MOVIE Bongo mtu wangu.. wapo walioshuhudia uzinduzi wa Movie hii uliofanyika APRIL 11 2015 maeneo ya Tegeta, DAR.. tumeona watu wengi wanalalamika kwamba story za kwenye Bongo Movie ni kama zinajirudia rudia hivi, lakini hii iko tofauti

Story ya movie inahusu Daktari mmoja kutoka Marekani anakuja zake TZ kuvolunteer kama mwezi mmoja hivi.. kumbe hiyo ilikuwa ni mistake kwake?

Mengi yanamtokea huyu Daktari akiwa ndani ya TZ..
Kwa time yao unaweza kuingia mtaani ukaicheki kwenye maduka ambapo inapatikana kwenye DVD, nimeambiwa iko pia kwenye iTunes mtandaoni.

Hapa nna PICHAZ ambazo nimekusogezea uzinduzi iliyokuwa.

2G2A11612G2A1202
2G2A1211
2G2A1231
2G2A1236

2G2A1258
2G2A1283
2G2A1307
2G2A1313
2G2A1361
2G2A1420
2G2A1475
2G2A1513
2G2A1524
2G2A1538
2G2A1575
2G2A1581
2G2A1634
IMG_3220
IMG_3279
IMG_3376
IMG_3390
IMG_3407

Unaweza kuicheki Trailer ya Movie hiyo hapa..


Kama ukipita duka la Born to Shine pale Mwenge na Jaffarai Car Wash Mikocheni nimeambiwa movie hii iko pia.
Pichaz: Slide Visuals


FOLLOW US ON

No comments:

Post a Comment