Tuesday 7 April 2015

Siku hizi Bajaji na bodaboda haziogopi kama hivi, tazama hii kama inakuhusu!


Siku hizi pikipiki maarufu kama bodaboda pamoja na Bajaji pamoja na baadhi ya magari, yamekua yanachekesha wengi barabarani kutokana tu na maneno waliyoyabeba. 

Kutana na hii inayowahusu Wanaume wote wanaochelewachelewa kuoa.

 Bajaji 1

FOLLOW US ON













No comments:

Post a Comment