Tuesday 7 April 2015

Producer Mr T Touch ana list ya ngoma anazozikubali.. Eti Afande Sele akipata Ubunge, rasta zake atakata? 255 @CloudsFM


Kwenye zile anazozisikiliza kwa sasa iko ya Darasa pamoja na wimbo wa Godzilla Nobody’.
T Touch amesema alitamani sana kufanya kazi na Godzilla, anafurahia kuliffanikisha hilo kwa sasa.
Baada ya msanii Afande Sele kutangaza kugombea Ubunge hivi karibuni kupitia chama cha ACT, kumekuwa na maswali mengi moja ni hili; eti akipata Ubunge atakata rasta zake?
afande-sele
Akizungumzia ishu hiyo kwenye 255, Afande Sele amesema inategemea na Katiba inasemaje.. anachokiona ni kwamba wapo Wabunge masingasinga ambao wanafunga vitambaa na kuingia Bungeni bila tatizo, yeye atakuwa Mbunge wa kwanza mwenye rasta jambo ambalo litawafurahisha na kuwashangaza watu wengi.
Wasikilize wenyewe hapa Afande Sele na T Touch.. Hii nimekusogezea kutoka #255 @CloudsFM



FOLLOW US ON



No comments:

Post a Comment