Saturday 11 April 2015

Download | Diamond Platnumz & Khadija Kopa - Nasema Nawe Original Version (Audio & Lyrics)

Hii ndio Official Audio Release Ya Nasema Nawe, Ukiachana na Ile Iliyotoka Mwanzo

Na Hii Ndio Lyric Ya Nasema Nawe


VERSE 1 
Halloooo 
Aah, Kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchoka 
Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usoka 
Washinda vibarazani ya wenzako kuropokaaa 
Kwa kuwa umemuona Fulani ona usoo ulivyokukoboka 
Sio mwisho vibaoni adi kwenye vigodoroo 
Usio na haya usoni kote wazua migogoro 
Ivi wewe haujioni kuwa unakasoro 
Uso mchana jioni si wajuz si tomorrow 
Sio mwisho vibaoni kwenye vigodoroo 
Usio na haya usoni kote wazua migogoro 
Hivi wewe haujioni kuwa unakasoro 
Uso mchana jioni si wajuz si aaaah! 

CHORUS 
Nasema naweee x3 
Uso haya nasema nawe 
Umezoea (nasema nawe) 
Chezea chezea (nasema nawe) 
Aaah!! Umezidi (nasema nawe) 
Zidi (nasema nawe) 
zidi (nasema nawe) 

VERSE 2 
Mmmmmhhh, mmmh 
Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaa 
Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa 
Usio hiana fedhuri uongo umekuja 
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa 
Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa 
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa 
Tena jokali la nguvu makarata 
Lile hodari maguvu si kwasakwasa 
Ooohh!!! Mwenzako mimi turufu si garasa 
Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa 

CHORUS 
Nasema naweee x3 (nawe nawe oh) 
Uso haya nasema naweee 
Nasema naweee x 3(nawew oh) 
Nimechoka nasema nawee 
Umezoea (nasema naweee) 
Chezea chezea (nasema nawee) 
Aaah!! Umezidi (nasema naweee) 
Zidi (nasema naweeee) 
Uso haya nasema naweee 
Oooohhh!!! (nasema naweee) 
Nasema nawee x 3 (nawew oh)

Bofya Hapa Kuichukua Original Version
https://www.ssyoutube.com/watch?v=NXvAz4QFlvk 

FOLLOW US ON

No comments:

Post a Comment