Thursday 4 December 2014

Wimbo Wa Nicki Minaj ‘All Things Go’ Tumejifunza Haya Manne, Mpaka Jambo La Kutoa Mimba Lipo.


Rapper Nicki Minaj alisema mapema mwezi huu kuwa album yake mpya The Pink Print itakuwa na manbo yake binafsi zaidi kuliko album zake zote alizowahi kutoa. Atazungumza mengi kuhusu maisha yake na hata alivyokuwa utotoni.

Kwenye wimbo mpya “All Things Go” tumejifunza mambo manne makubwa, Alivyotoa mimba.



1) Anampango wa kuwa na mtoto ndani ya miaka miwili au mitatu.
She raps: “Cherish these nights, cherish these people
Life is a movie but there will never be a sequel
And I’m good with that, as long as I’m peaceful
As long as seven years from now, I’m taking my daughter to preschool”

2) Alikuwa tayari ni mchumba wa Safaree Samuels kabla hata hatijamsikia na Young Money.
She raps: “10 years ago, is when you proposed
I looked down, ‘yes, I suppose’”

3) Sio mgumu kuelewana naye kama watu wanavyodhani na pia sio mtu wa mainstream kama inavyoonekana.
She raps: “Let me make this clear I’m not difficult, I’m just about my business
I’m not into fake parties or fake agendas
Rock with people for how they make me feel, not what they give me”

4) Alitoa mimba alivyokuwa kijana mdogo.
She raps: My child with Aaron, would’ve have been sixteen, any minute
So in some ways I feel like ‘Caiah, is the both of them
It’s like he’s ‘Caiah’s little angel, looking over him

FOLLOW US ON

1 comment:

Anonymous said...

Kaz nzur ommy

Post a Comment