Thursday 4 December 2014

Picha: Shabiki Wa Ali Kiba, Msanii Wako Yuko Nchi Hii Akifanya Hii Video.


Kupitia kurasa yake ya Instagram msanii Ali Kiba ametufahamisha kuwa yuko South Africa mjini Cape Town akifanya video. Hajaweka wazi ni video ya wimbo upi ila inawezekana kuwa video ya  ‘Mwana’ sababu ndio wimbo unaofanya vizuri  kwa sasa.


kiba 1 kiba 2 kiba 3 



FOLLOW US ON

No comments:

Post a Comment