Thursday 4 December 2014

Kamikaze Anahitaji KURA Yako #NYAMBAGO AWARDS 2014


Msanii wa muziki wa Hip Hop hapa bongo ambaye ni Member kutoka kundi la wakacha hivi karibuni ameweza kuchaguliwa kuwania tuzo za ”NYAMBAGO AWARD ‘S ”  ambazo ni  Tuzo za Kanda ya Kati . katika vipengele vya Msanii bora wa mwaka na wimbo bora wa mwaka ‘Alowa’. Kura yako muhimu kuweza kumwezesha kushinda Tuzo hiyo.

 Jinsiya kupiga kula andika

MSANII BORA
NYAMBAGO -KP KAMIKAZE
Tuma kwenda namba 0773448686

WIMBO BORA
NYAMBAGO -KP ALOWA
Tuma kwenda namba 0773448686


FOLLOW US ON

No comments:

Post a Comment