Friday 5 December 2014

Video Mpya Ya Vanessa Mdee ‘Hawajui’ Kutambulishwa Mara Ya Kwanza Na MTV Base Jumatatu (Dec.8).


Vanessa Mdee anaingia kwenye orodha inayozidi kukua ya wasanii wa Bongo ambao video zao huanza kutambulishwa exclusive na TV kubwa za nje kwa mara ya kwanza.


Video yake mpya aliyoshoot Afrika Kusini ‘Hawajaui’ itatambulishwa kwa mara ya kwanza na MTV Base siku ya Jumatatu (Dec 8) kupitia ‘Spanking New’.Kupitia Instagram Vanessa ameandika:“Monday FIRST ON BASE!!!!! #Hawajui saa kumi na mbili jioni “
Aliweka Post Hii Twitter 



Watch my brand new video 'Hawajui' Monday 6pm EAT for the very first time on @MTVbaseAfrica pic.twitter.com/FYfg1UTndM 
— VeeMoney!Siri (@VanessaMdee) December 5, 2014

FOLLOW US ON



No comments:

Post a Comment