Friday 5 December 2014

Baada Ya Tyga Kusema Anashikiliwa Mateka, Lil Wayne Afunguka Kuhusu Kuwa Mfungwa Wa Young Money


Hivi karibuni tulisikia Tyga akisema kuwa anashikiliwa mateka na uongozi wa Young Money na kwamba hawataki kutoa album yake. Hii imetokea tena kwa mtoto wa kufikia wa C.E.O Wa Cash Money Birdman ambaye ni rapper Lil Wayne.

Lil Wayne anasema  “Birdman” hataki kutoa album yake mpya ya  The Carter V  na kwenye twit zake anaendelea kusema hataki tena kujihusisha na watu kama hawa.

 Hizi twit zake
wezzy 2 wezzy 

FOLLOW US ON


No comments:

Post a Comment