Msanii kutoka kundi la Wakali Kwanza 'Joslin' ameachia video ya ngoma yake mpya inayoitwa 'Tesa Nae' akimshirikisha Msanii wa Hip Hop 'Stopa'. Ngoma imetengenezwa na Davie Dizzo kutoka Legendary Music na video imeongozwa na OJ kutoka Numark production .
No comments:
Post a Comment