Mzigo mwengine huu hapa kutoka kwa Nikki wa II kutoka kwenye kundi la
Weusi, na sasa anasema "Staki Kazi" ndani yake kuna vionjo vya RnB akiwa
amemshirikisha Ben Pol pamoja na G-Nako huku ngoma ikiwa imetengenezwa
na Nahreel. So fanya kama unahesabu siku chache zijazo mpaka trehe 13
mwezi huu mzigo utadondoka
HAPA na utaweza kusikiliza mdundo huu.
Tu Follow Instagram @
omaryramsey
Facebook -
omary ramsey
No comments:
Post a Comment