Monday 3 July 2017

Video: Kendrick Lamar ataja wasanii 5 anaowakubali



Rapa na mwandishi wa muziki kutoka Marekani Kendrick Lamar amewataja wasanii watano ambao yeye binafsi anawaona kama ndio wakali na anaowatazama kama mfano katika muziki wake.

Kendrick sio mtu wa kupenda kutaja wasanii wenzake anaowakubali lakini akiongea na Power 106 mjini Los Angeles Rapa  huyo anayetamba na ablamu yake mpya ya ‘DAMN’ alifunguka kwa kuwataja JAY-Z, Eminem, Tupac Shakur, The Notorious B.I.G na Snoop Dogg kuwa ndio wasanii anaowakubali.

Unaweza kutazama video hapa chini ya Kendrick Lamar alipofanya mahojiano na kituo cha Power 106.


No comments:

Post a Comment