Monday, 3 April 2017

Tammy Afungukia Kujiachia Nusu Utupu!




Mkali wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Tamara Ally ‘Tammy The Baddest’ ameweka wazi sababu zinazomfanya kujiachia nusu kwake ni kitu cha kawaida na hata mazingira ya nyumbani kwao na wazazi wake wamemzoea, hivyo haoni cha ajabu.

 
"Mchumba utupu mara kwa mara kuwa ni mazoea. Akizungumza na kona hii, Tamara anayebamba na Wimbo wa Mtoto wa Kike alisema, "kukaa nusu utupu wangu mwenyewe ananichukulia poa kwani ni kawaida mwanamke kujiachia just life style tu, hata kwenye video yangu (Mtoto wa Kike) nimeonesha hadi nguo ya ndani mbona ni vitu vya kawaida tu jamani,” alisema Tammy.

No comments:

Post a Comment