Wednesday 29 March 2017

DJ Khaled kuonekana kwenye filamu ya Pitch Perfect 3


DJ Khaled ataonekana kwenye filamu ya Pitch Perfect 3. Dj huyo ametoa taarifa za kuwepo kwenye filamu hiyo ya muziki Jumatatu hii kwa kuweka kipande cha video cha behind-the-scenes kwenye mitandao ya kijamii.

Hata hivyo hakueleza uhusika wake ni upi kwenye movie hiyo. Anna Kendrick na Rebel Wilson wanarejea kama waigizaji wakuu wa filamu hiyo. Wengine ni Elizabeth Banks, Hailee Steinfeld, Anna Camp, Ruby Rose na Brittany Snow.

Pitch Perfect 3 itaingia sokoni December 22, 2017.

No comments:

Post a Comment