Thursday, 15 October 2015

Wizkid kufanya Show Tanzania kwa mara ya kwanza tarehe 31 mwezi huu


Kampuni ya King solomon Entertainment ikishirikiana na East Africa Radio wametoa taarifa hiyo mapema leo walipokua wakifanya mahojiano na waandishi wa habari ambapo wamesema kuwa tamasha hilo litafanyika viwanja vya Leaders club.




Wameongeza kuwa wasanii watakaoshambulia jukwaa moja na Wizkid watatajwa hapo baadae.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya


No comments:

Post a Comment