Akifanya mahojiano na kipindi cha Cloud E cha Couds Tv, Shaa aliongeza
kuwa tayari amefanya video 3 nje ya nchi tangu mwaka jana, pia aliongeza
kuwa mashabiki zake wategemee kitu cha tofauti kwasababu huwa
anabadilika na anafanya mziki wa aina nyingi.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment