Diamond alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari hivi
karibuni wakati ya mapokezi yake katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
JK Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea Marekani alikoshinda tuzo za
Afrimma.
“Nimeuambia uongozi kabla ya mwezi wa kwanza hapa katikati ziwe zimeshatoka hata ngoma tatu za moto kabisa,” alisema Diamond.
Tayari muimbaji huyo amesharekodi nyimbo kadhaa za kolabo ukiwemo wimbo aliowashirikisha P-Square na Ne-Yo.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment