BET experience itafanyika tarehe 12 mwezi december mwaka huu
Johannesburg, Afrika kusini na itahusisha vitu mbalimbali ikiwa ni
pamoja na mitindo, muziki, vichekesho, vyakula na vitu vingine
mbalimbali.
Kati ya wasanii watakao perfom ni pamoja na washindi wa tuzo za Grammy,
staa wa R&B Maxwell pamoja na mastaa wengine wa kimataifa na Afrika
ambao watatangazwa hapo badae.
Makamu wa Raisi na Mkurugenzi mtendaji wa Viacom International Media Networks ( VIMN) Afrika, Alex Okosi amesema “VIMN
Africa and BET are proud to introduce this incredibly successful BET
franchise to African audiences for the first time, celebrating so many
rich and varied faces of the urban lifestyle experience under one roof.”
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment