Monday 21 September 2015

Picha | Mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (DART) yamewasili Bandarini Dar es Salaam


“Tumefikia hatua nzuri na naipongeza Kampuni ya Uda Rapid Transit (Uda-RT) kwa kuleta mabasi hayo kwa ajili ya kuanza kutoa huduma hii ya usafiri katika kipindi cha mpito. Hii itasaidia kuondoa adha ya usafiri kwa wakazi wa jiji hili,” Alisema Mkuu wa Mkoa  wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, wakati anaongea na waandishi wa habari jana baada ya kufanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam kujionea kuwasili kwa mabasi hayo.


IMG_2452




Hata hivyo, alisema taarifa za nauli za mabasi hayo kuwa itakua TSh.  900. Zile zilizotolewa katika mitandao, zilikuwa ni za uzushi na upotoshaji.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:

Post a Comment