Friday 18 September 2015

Hemedy PHD kuachia Album yake ya kwanza “Virgo” mwezi february mwakani

Hemedy PHD ametangaza ujio wa Album yake ya kwanza mwezi february mwakani, amesema itaitwa “Virgo” na itakua na jumla ya nyimbo 18.

PHD ametoa habari hiyo njema kwa mashabili wake kupitia mtandao wa Instagram, Ameandika


Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:

Post a Comment