Sunday 20 September 2015

Ben Pol Ft. Avril & Rossie Em - Ningefanyaje Coming Soon


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ben Pol aliandika...
N.I.N.G.E.F.A.N.Y.A.J.E (to be released on Thu, 24 September) will be Ben Pol's second Official release after S.O.P.H.I.A which was released in January 2015. It is one among the 4 Ben Pol songs featured in the Coke Studio season 3.
The original Studio version of N.I.N.G.E.F.A.N.Y.A.J.E features Kenya's darling AVRIL and Rossie M (An upcoming artist from Tanzania), NINGEFANYAJE is another Mswaki's production Cc.
@mswaki @mswaki
@mswaki @mswaki

N.I.N.G.E.F.A.N.Y.A.J.E ambayo inatoka siku ya Alhamisi, 24 September 2015 itakuwa ni wimbo (RASMI) wa Pili Kutoka kwa Ben Pol, ikiwa ni baada ya SOPHIA iliyotoka mwezi Januari mwaka huu, Ni miongoni mwa Nyimbo 4 zilitumika kwenye msimu wa 3 wa Coke studio, Vesheni halisi ya wimbo huu imemshirikisha msanii AVRIL kutoka Kenya pamoja na ROSSIE M kutoka TANZANIA.

NINGEFANYAJE Imetayarishwa na Mswaki (@mswaki )

Cc. @theavieway @rossiempangala

#BenPol #Bthekingofrnb #rnbenpol #Ningefanyaje #Avril #RossieM


N.I.N.G.E.F.A.N.Y.A.J.E (to be released on Thu, 24 September) will be Ben Pol's second Official release after S.O.P.H.I.A which was released in January 2015. It is one among the 4 Ben Pol songs featured in the Coke Studio season 3. The original Studio version of N.I.N.G.E.F.A.N.Y.A.J.E features Kenya's darling AVRIL and Rossie M (An upcoming artist from Tanzania), NINGEFANYAJE is another Mswaki's production Cc. @mswaki @mswaki @mswaki @mswaki N.I.N.G.E.F.A.N.Y.A.J.E ambayo inatoka siku ya Alhamisi, 24 September 2015 itakuwa ni wimbo (RASMI) wa Pili Kutoka kwa Ben Pol, ikiwa ni baada ya SOPHIA iliyotoka mwezi Januari mwaka huu, Ni miongoni mwa Nyimbo 4 zilitumika kwenye msimu wa 3 wa Coke studio, Vesheni halisi ya wimbo huu imemshirikisha msanii AVRIL kutoka Kenya pamoja na ROSSIE M kutoka TANZANIA. NINGEFANYAJE Imetayarishwa na Mswaki (@mswaki ) Cc. @theavieway @rossiempangala #BenPol #Bthekingofrnb #rnbenpol #Ningefanyaje #Avril #RossieM
A photo posted by Ben Pol (@iambenpol) on

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment