Kanye West ametangaza kuwa atagombea urais mwaka wa Marekani mwaka 2020.
Kanye ametoa tangazo hilo kwenye tuzo za VMA zilizofanyika Jumapili hii.
“Ndio kama ambavyo mnaweza kuwa mmebashiri muda huu, nimeamua mwaka 2020
kugombea urais,” alisema Kanye na kuacha ukumbi mzima ukishangalia.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment