Akizungumza katika Conference ya waandishi wa Habari Ne-yo
amesema kuwa kuwa atafanya kazi na wasanii ambao wako katika Coke
Studio, Pia kuna kazi ambazo zitafanyika ambazo zitakuwa ni za wasanii
ambao wako nje ya Coke Studio, ametaja wasanii ambao atafanya nao kazi
ambao ni Diamond Platnumz, Vanessa Mdee na P Square.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment