Monday, 17 August 2015

Ne-Yo athibitisha kuwa anakuja Kenya kwenye Coke Studio Africa


Muimbaji wa R&B kutoka Marekani, Ne-Yo amethibitisha kuwa anakuja nchini Kenya hivi karibuni kwaajili ya kushiriki kwenye kipindi cha Coke Studio Africa.

Siku chache baada ya taarifa kusambaa kuwa Ne-Yo ndiye msanii wa kimataifa atakayeungana na mastaa wa Afrika katika kipindi hicho mwaka huu, ametumia akaunti zake za mitandao ya kijamii kuthibitisha ujio wake, kwa kuandika 


Hii ni mara ya pili Ne-Yo anarudi Afrika katika kipindi cha muda mfupi. July 18, 2015 alitumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA huko Durban, Afrika Kusini.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya




No comments:

Post a Comment