Thursday, 20 August 2015

Download | Fau - Kidege (Audio)


Msanii wa muziki nchini Tanzania mwanadada ambaye jina lake ni ‘Fau’ aliyebarikiwa sauti ya kuimbia muziki kutoka katika leble ya Fire Music‘, kwa mara ya kwanza ameingiza kazi yake ya kwanza kwa walengwa wa muziki nchini yaani mashabiki wa muziki.
Ameachia video na Audio ya wimbo wake unaoitwa ‘Kidege’ kwa mpigo ikiwa huu ndio mwanzo wa safari yake kwenye Tasnia hiyo. Video directed by Uncle Fils Track Produced By Mo fire.



Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:

Post a Comment