Wasanii hawa wiwili wamekutana katika vipengele viwili katika tuzo za Afrimma ambazo zimeshatangazwa! Wawili hawa wamekutana katika kipengele cha” Msanii bora” na “wimbo bora wa mwaka”.Tanzania tunawakilishwa naDiamond Platnumz, Ally Kiba na Lina.
Wanaoshindana katika kipengele cha Msanii bora wa mwaka
Katika kipengele cha Msanii bora wa mwaka Ally Kiba na Diamond Platnumz
wamkutana pamoja, huku kukiwa na mpambano mwingine kati ya Davido na
Wizkid ambao wote ni Wanigeria.
Wanaoshindana katika kipengele cha wimbo bora wa mwaka
Katika kipengele cha wimbo bora wa mwaka Ally Kiba na Diamond
Platnumz wamekutana katika kipengele hichi ambapo Kuna nyimbo ya Nasema
Nawe ya Diamond Platnumz na Mwana ya Ally Kiba….Pia katika kipengele
hiki kimewakutanisha wakali wa Nigeria Davido na Wizkid.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya




No comments:
Post a Comment